a

Demu wa Young Killer Autafuta U-Super Staa Kwa Nguvu, Sasa Atuonyesha Umbo lake Live

Baada ya kugeuza noti za buku 10 kuwa shuka mrembo wa rapper wa ‘Mrs Supastaa’ Young Killer aitwaye Halimaty ameendelea kumake headlines kwa picha zake kwenye mtandao wa Instagram. Na sasa ameamua kuwaonesha followers wake umbo lake lililomfanya apate cheo cha ‘Umrs Supastaa’ 
Previous
Next Post »