a

PICHA: Pogba a post instagram akiwa na wakala wake wakila "Good Time"



Ni siku moja imepita tangu gazeti la AS liandike kuhusu taarifa ya dili la Paul Pogba kujiunga na Man United akitokea Juventus litakamilika ndani ya siku mbili, yaani kuanzia July 27 hadi 28, ila July 25 imeripotiwa kutoka thesun.co.uk kuwa dili la Pogba tayari limekamilika bado kutangazwa tu.

Taarifa hizo za dili la Pogba kuwa limekamilika zinapata nguvu baada ya Paul Pogba na wakala wake Mino Raiola kupost picha inayowaonesha wakifurahia maisha, picha ambayo mtandao wa 101greatgoals.com unaitafsiri kama fumbo na inawezekana dili lao likawa limekamilika.
Previous
Next Post »